said.khamis@tradesmz.go.tz +255 773 318 368

Location:

Zanzibar

Email:

said.khamis@tradesmz.go.tz

Call:

0773318368/0777186599/0777481214

Open Hours:

Mon-Sat: 8:30AM - 5:0PM

Kibanda kilichojengwa chenye ukubwa wa mita za mraba 9, (3X3) m2, kikiwa na kuta tatu, jina, meza moja, viti viwili, taa mbili, na swichi socket ya umeme. Gharama ni Tshs. 500,000/= kwa kila kibanda kimoja.

Loading
wewwwewwwee

Muhimu

Soma na kukubaliana

MUDA WA MWISHO WA MAOMBI NA MALIPO

Mwisho wa maombi na malipo ya Ushiriki wa Maonesho ni tarehe 20 Disemba, 2023 (nafasi zitatolewa kwa kipaumbele cha atakekuja na kulipa mwanzo)

Read more

MAKUBALIANO YA MALIPO

Malipo yote yafanywe kupitia Tawi lolote la Benki ya Watu wa Zanzibar kwa jina la “TAMASHA LA BIASHARA ZANZIBAR” Akaunti Na. 0404198000 SWIFT CODE: PBZATZTZ. Kopi ya risiti iambatanishwe wakati wa kurudisha fomu hii.

Read more

MASHARTI, KUSITISHA MAOMBI NA UHALALI WAKE

Maombi haya ni mkataba baina ya Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda na Mshiriki wa Maonesho haya. Mkataba huu unalindwa na kuongozwa na “Taratibu za Uendeshaji Maonesho kwa mujibu wa kanuni za biashara za mwaka 2023. Iwapo Mshiriki atajitoa wakati mkataba huu umekwisha ridhiwa malipo ya awali hayatarudishwa. Aidha, Mshiriki atakayejiondoa wakati Maonesho yanaendelea, malipo ya ushiriki yaliyolipwa hayatorejeshwa.

Read more